HUYU NDIO MSANII WA BONGOFLAVA ALIYEPIGWA MARUFUKU NA BASATA KUVAA MLEGEZO
Ney wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu
zao’ amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni
onyo la kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali
anayoonekana.
Ney amesema alipigiwa simu sana na namba moja lakini alikua amelala, alipoamka akakuta missedcalls nyingi so ikabidi apige ndio akaambiwa BASATA kuna barua yake ambapo baada ya kushindwa kwenda alipelekewa Manzese.
Ney anasema ‘sielewe kama BASATA ndio wameamua kudili na milegezo, sijaelewa wao wanaangalia nini zaidi, nimejaribu kuuliza wakasema nikiendelea watanifungia kazi zangu, ni kweli navaa mlegezo lakini kuna vitu vingi sana vya kufanyia kazi wao kama BASATA manake tunaibiwa kazi zetu kila siku mbona hawashughulikii hizo?’ mi tangu niko shule mlegezo ni tatizo langu kubwa ila nitajitahidi kupunguza japo nashangaa nimeandikiwa barua mimi mwenyewe wakati kuna wasanii wanavaa mlegezo hata kuliko mimi’

You may also Like

Diamond kuiachia ‘Ntampata Wapi’ kesho...

Sitti Mtemvu bado kiti cha moto, mamlaka zajipanga kumpeleka...

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii ...

CHIDI BENZ ASIMULIA STORY NZIMA JINSI ILIVYOKUWA HADI KUKAMA...

JAY SEAN AMETANGAZA KUJIONDOA KWENYE LABEL YA CASH MONEY REC...

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye...
0 comments: