Jokate Afunguka Kuhusu Uhusiano Wake na Lucci

Mwanamitindo ambaye pia kwa sasa amejikita katika tasnia ya muziki akijulikana kama Jokate Mwegelo au maarufu kama Kidoti ambae kwa sasa anatamba zaidi na ile ngoma ambayo amefanya na Producer Lucci inayoitwa Kaka Dada. Kutoka mtandao wa instagram kupitia ukurasa wa Kidoti ameonekana kufunguka juu ya mahusiano yake ya producer huyo. Maana tangu waachie video ya ngoma hiyo kumekuwa na story nyingi
tofauti katika mitandao tofauti ikidai kuwa wawili hao ni wapenzi. Cheki huu ndio ujumbe alioandika msanii Jokate masaa machache kutoka Instagram...

Soma hapa..


"Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!.."

Pia unaweza kuangalia video yenyewe ambayo ndio imekuwa kumzo zaidi mtaani ...

Recent Posts